(Get Latest news and downloads here)
JOINING ISTRACTION KWA WATAKAO JIUNGA NA CHUO 2023/2024KAM COLLEGE OF HEALTH SCIENCE (KIMARA KOROGWE - DAR ES SALAAM) Mkurugenzi wa chuo Kam College of Health science Dr Musika anawakaribisha wanafunzi wote watakao chaguliwa na NACTE kwa awamu zote kujiunga na chuo Sep 2023/2024 Pakua (Dowload) Joining Intraction hapo chini kupata maelekezo yote ya kujiunga na chuo chetu kwa ajir ya maandaliz ya September Intake. Chuo cha Kam College Kipo kimara korogwe Dar es salaam. Kipo Upande wa kushoto ufikapo stand ya mwendokasi korogwe (Morogoro Road) ukiwa unatokea Mbezi Stand ya Mabasi unaelekea Mjini (City Center) Karibuni sana Wanafunzi wote |
|
1. Download Filename-joining form - afya 2023 - 2024 (1).pdf |